Ingia / Jisajili

NDANI YAKE YEYE SISI TUNAISHI

Mtunzi: Dr.Damas Michael
> Mfahamu Zaidi Dr.Damas Michael
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.Damas Michael

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Damasi Michaeli

Umepakuliwa mara 161 | Umetazamwa mara 530

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NDANI YAKE YEYE SISI TUNAISHI. Ndani yake yeye sisi tunaishi, tunakwenda na kuwauhai X2 Kwa maana sisi, kwa maana sisi, kwa maana ni watoto wa MunguX2 1.dunia yote ifahamu njia zako, mataifa yote yazijue nguvu zako za kuokoa. 2.watu wote wakutukuze ee Mungu, watu wote wakusifu, walisifu jina lako. 3.mataifa yafurahie nakukmba kwa maana wahukumu watu, watu wote kwa haki.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa