Mtunzi: Dr.Damas Michael
> Mfahamu Zaidi Dr.Damas Michael
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.Damas Michael
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Damasi Michaeli
Umepakuliwa mara 395 | Umetazamwa mara 1,301
Download NotaNa tazama nikaona mji umeshuka, umeshuka kutoka juu mbinguni X2. Uzuri wake hauelezeki, ni mzuri unang’aa wapendeza sana, kuta zake ni dhahabu tena marumaru, uzuri wake hauelezeki.
1.huo ndiyo mwanzo wa dunia mpya, mbingu mpya na maisha mpya.
Tutaimba kwa furaha, tutaimba kwa furaha, kwa furaha milele X2