Ingia / Jisajili

Wapandao Kwa Machozi

Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustini F.Mganuka

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Faustini Mganuka

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitio.

Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele kwa furaha.

1. Bwana alipowarejeza mateka wa sayuni tulikuwa kama waotao ndoto ndipo kinywa chetu kilopojaa kicheko na ulimi wetu kelele za furaha.

2.Ndipo waliposema katika mataifa kwamba Bwana amewatendea makuu tulikuwa tukifurahi


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa