Ingia / Jisajili

Wapumzike Kwa Amani

Mtunzi: Alvin Marie
> Mfahamu Zaidi Alvin Marie
> Tazama Nyimbo nyingine za Alvin Marie

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi

Umepakiwa na: Alvin Marie

Umepakuliwa mara 117 | Umetazamwa mara 157

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee bwana uwakumbuke waumioni wako waliolala x2 uwape raha ya milele, na mwanga wako uwaangaze, wapumzike kwa amani x2 1. Usiyakumbuke makosa yao wala maasi ya ujana wao, wapumzike kwa amani. 2. Ukumbuke mema waliotenda, na imani yao iwatetee, wapumzike kwa amani. 3. Wajalie tuzo ya uzima, wafurahi nawe milele yote, wapumzike kwa amani.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa