Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa
Umepakuliwa mara 688 | Umetazamwa mara 2,786
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Ee Bwana fadhili zako zikae zikae nasi (Bwana) kama vile tulivyo tulivyokungoja wewe. x2
MASHAIRI
1. Neno la Bwana, neno la Bwana lina adili, na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.
2. huzipenda huzipenda haki na hukumu, nchi imejaa fadhili fadhili za Bwana.
3. Tazama jiccho Jicho la Bwana li kwao wamchao, wazingojeao fadhili fadhili zake.
4. Yeye huwaponya nafsi zao zao na mauti, na kuwahuisha wakati wa njaa.
5. Nafsi zetu nafsi zetu zinamngoja Bwana yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu