Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa
Umepakuliwa mara 739 | Umetazamwa mara 1,999
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Ee Mungu nimekuita kwa maana utaitika, utege sikio, utege sikio lako ulisikie neno langu *2
MASHAIRI
1.Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho, unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako.