Ingia / Jisajili

Sheria yako naipenda

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 1,093 | Umetazamwa mara 2,179

Download Nota
Maneno ya wimbo

Sheria yako naipenda mno ajabu,sheria yako naipenda mno ajabu x2.

  • 1.Bwana ndiye aliyefungu langu, nimesema nitayatii maneno yako, Sheria ya kinywa chako ni njema kwangu kuliko elfu ya dhahabu na fedha.
  • 2.Nakuomba Bwana fadhili zako, ziwe faraja ziwe faraja faraja kwangu, na ahadi yako kwa mtumishi wako, rehema zako zinijie nipate kuishi.
  • 3.Shuhuda zako ni za ajabu ndiyo maana roho yangu imezishika, kuyafaanusha maneno yako, kunatia nuru na kumfahamisha mjinga

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa