Ingia / Jisajili

Kuimba ni raha

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 722 | Umetazamwa mara 2,088

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kumwimbia Mungu wangu ni raha,  kwa kinubi zeze ngoma na kinanda, sitachoka kumsifu kwani kuimba ni raha.

Kiitikio

  • Nimwimbie Mungu wangu nyimbo za shangwe, nizitangaze sifa zake kwa mataifa nimwimbie nyimbo nzuri na kumsifu Mungu wangu, kwa sauti nzuri aliyonijaliea Mungu wangu. Hakika ni raha kumwimbia Mungu wangu. x2


Beti.

  • 1.Ni wewe, Bwana unipaye uzima, naona fahari kukuimbia nitaimba nakucheza kwa furaha kuimba kuimba ni raha tu.
  • 2.Simama ndugu, ndugu ndugu yangu, kwakulingalinga nakunesanesa tumpazie Mungu kelele, kelele za shangwe kwa sauti za shangwe.
  • 3.Ee Mungu uishiye juu mbinguni unijalie sauti nzuri nikusifu nikuimbie milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa