Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 31 Mwaka C
WEWE BWANA USINIACHE
Wewe Bwana usiniache (mimi) Mungu wangu usijitenge nami x2
1. Ufanye haraka kunisaidia, Ee Bwana nguvu za wokovu wangu