Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiKWA MAANA TAZAMA
Kwa maana, tazama tokea sasa toka sasa wataniita mbarikiwa x2
1. Na moyo wangu, unamtukuza Bwana Mungu, na roho yangu yamfurahia Mwenyezi