Ingia / Jisajili

Wewe Bwana usiniache

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 434 | Umetazamwa mara 1,245

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka C
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 31 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 31 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 31 Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

Wewe Bwana usiniache, Mungu wangu usijitenge nami x2 ufanye haraka kunisaidia, Ee Bwana wokovu wangu x2

  • 1.Kwa maana nitaungama uovu wangu, nakusikitika kwa dhambi zangu.
  • 2.Wanaonichukia bure wamekuwa wengi, wakilipa mabaya kwa mema.
  • 3.Kwa kuwa nakungoja wewe  nakungoja Bwana wewe, utajibu Mungu wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa