Ingia / Jisajili

Yesu Kristo Ametufanya

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 99 | Umetazamwa mara 154

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Yesu Kristo ametufanya kuwa ufalme na makuhani wa Mungu naye ni Baba yake X2

Utukufu na ukuu una yeye hata milele na milele amina X2

1. Shahidi mwaminifu mzaliwa wa kwanza wa waliokufa na mkuu wa wafalme wafalme wa dunia

2. Yeye atupendaye na kutuosha dhambi zetu kutuosha dhambi zetu katika damu yake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa