Ingia / Jisajili

Nitakushukuru Ee Bwana

Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: lucas mlingi

Umepakuliwa mara 247 | Umetazamwa mara 960

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NITAKUSHUKURU - BY LUCAS MLINGI

Nitakushukuru Ee Bwana x2 //kwaajili ya fadhili zako na uaminifu wako x2

Soprano.

1.Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, mbele ya Miungu nitakuimbia zaburi

   nitasuujudu nikilikabili hekalu lako takatifu, nitalisujudu jina lako.

Bass/Tenor

2. Kwaajili ya fadhili zako na uaminifu wako kwa maana umeikuza ahadi yako

    ahadi yako kuliko jina lako lote, siku ile niliyokuita uliniitikia ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.

Alto

3.Ee Bwana wafalme wote wa Dunia watakushukuru watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.

    Naam! wataziimba sifa za Bwana, kwa maana utukufu wa Bwana ni Mkuu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa