Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Zaburi
Umepakiwa na: Valentine Ndege
Umepakuliwa mara 327 | Umetazamwa mara 1,732
Download Nota Download MidiHuu ni mwili wangu ulio kwa ajili yenu, fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu x2
1. Kikombe hiki ni agano jipya, katika damu asema Bwana.
2. Aulaye mwili wangu aulaye mwili wangu, ana uzima wa milele.
3. Ainywaye damu yangu ainywaye damu yangu, ana uzima wa milele.