Mtunzi: John Keneddy Kizza
> Mfahamu Zaidi John Keneddy Kizza
> Tazama Nyimbo nyingine za John Keneddy Kizza
Makundi Nyimbo: Pasaka | Pentekoste
Umepakiwa na: Keneddy Kizza
Umepakuliwa mara 1,748 | Umetazamwa mara 4,738
Download Nota Download MidiAle - Aleluya aleluya.........................
1. Kristu Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, basi na tuifanye karamu katika Bwana.
2. Uje Roho Mtakatifu uzienee nyoyo za waamini wako uwatie mapendo yako