Mtunzi: John Keneddy Kizza
> Mfahamu Zaidi John Keneddy Kizza
> Tazama Nyimbo nyingine za John Keneddy Kizza
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Keneddy Kizza
Umepakuliwa mara 463 | Umetazamwa mara 1,742
Download Nota Download Midi
Mawazo ninayowawazia (asema Bwana) ni mawazo ya amani X2
(Ni mawazo ya amani wala siya mabaya) ni mawazo ya amani wala siya mabaya X2.
1. Nanyi mtaniita nami nitawasikiiza, nami nitawarudisha kutoka mahali pote watu wenu waliofungwa.
2. Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaonitafuta kwa moyo wenu wote kwa moyo wenu wote.