Mtunzi: John Keneddy Kizza
> Mfahamu Zaidi John Keneddy Kizza
> Tazama Nyimbo nyingine za John Keneddy Kizza
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Keneddy Kizza
Umepakuliwa mara 718 | Umetazamwa mara 1,850
Download Nota Download Midi
Na tuimbe wote aleluya, amefufuka alivyosema, Bwana wetu kweli ni mzima, Aleluya Aleluya X2
(Leo tumshangili, Bwana ni Mwokozi Kristu mshindi wa mauti, Aleluya, Aleluya Aleluya Aleluya)X2
1.Ameshinda mauti ameacha kaburi wazi, tangazeni kwa watu wote, Kristu Mwokozi amefufuka.
2. Ametoka kuzimu na utukufu wa ajab, ni mshindi wa mauti, anaishi milele yote
3. Wokovu tumepata, Kristu ametutangulia, kwake Baba wetu mbinguni, tutaishi naye milele.