Mtunzi: John Keneddy Kizza
> Mfahamu Zaidi John Keneddy Kizza
> Tazama Nyimbo nyingine za John Keneddy Kizza
Makundi Nyimbo: Noeli | Mama Maria
Umepakiwa na: Keneddy Kizza
Umepakuliwa mara 1,509 | Umetazamwa mara 4,094
Download Nota Download MidiHONGERA MARIA MAMA
Hongera Maria mama umetuzalia Kristu, Mwokozi wetu hongera sana (hongera) mtoto mtukufu amezaliwa nawe. (Imbeni kwa shangwe wote, tumpongeze Maria) X2.
1. Pangoni Bethlehemu Yesu Kristu amezaliwa na Maria kwa ajili ya ulimwengu.
2. Nyimbo nzuri za kumheshimu leo ziimbwe vigelegele kwa Mama yake na vipigwe.
3. Utukufu juu mbinguni na amani duniani kila kiumbe kimsifu Mwana wa Mungu.