Ingia / Jisajili

Amefufuka Hayumo

Mtunzi: James Lunalo Khalwale
> Mfahamu Zaidi James Lunalo Khalwale
> Tazama Nyimbo nyingine za James Lunalo Khalwale

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: James Lunalo Khalwale

Umepakuliwa mara 34 | Umetazamwa mara 55

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
AMEFUFUKA Hayumo tena Yesu kaburini, yeye ni mzima, na utukufu u na yeye milele twimbe aleluya. Aleluya aleluya x2 Kristu amefufuka, ameshinda mauti. 1. Hii ndiyo siku aliyoifanya twimbe kwa shangwe amefufuka, tuishangilie na kufurahi, twimbe kwa shangwe amefufuka. 2. Na jiwe hilo walilokataa waashi ndilo la pembeni, amepewa enzi na utukufu tumsujudi kristu mwokozi 3. Nao Malaika washuhudia nguvu za giza hazipo tena, kwani yule Yesu walisulubisha amefufuka msiogope!

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa