Ingia / Jisajili

Yesu Atokwa Machozi

Mtunzi: James Lunalo Khalwale
> Mfahamu Zaidi James Lunalo Khalwale
> Tazama Nyimbo nyingine za James Lunalo Khalwale

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mazishi

Umepakiwa na: James Lunalo Khalwale

Umepakuliwa mara 24 | Umetazamwa mara 36

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana Ee Bwana, Yesu atokwa machozi, kwa mateso makali, amehukumiwa kufa; Mungu Ee Mungu Bwana utuhurumie tumetenda dhambi kumsulubisha Mwana wako. 1. Kwa ajili ya dhambi zetu, Yesu aliteswa sana, damu yake ilimwagika Kalvari msalabani 2. Kwa ajili ya dhambi zetu, Yesu alilia sana, kwa uchingu wa misumari Yesu akakata roho. 3. Kwa ajili ya dhambi zetu, wengi walikata roho, wanawake wakimlilia kweli kwa huruma mwingi. 4. Lakini kuna ukombozi kwa kifo cha Bwana Yesu, tukivumilia mateso, tutaishi naye milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa