Ingia / Jisajili

Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu

Mtunzi: James Lunalo Khalwale
> Mfahamu Zaidi James Lunalo Khalwale
> Tazama Nyimbo nyingine za James Lunalo Khalwale

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mazishi

Umepakiwa na: James Lunalo Khalwale

Umepakuliwa mara 77 | Umetazamwa mara 128

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
[Bwana kama wewe (ungehesabu maovu x3) ya wana wako; nani angesimama mbele yako.]x2 1.Lakini kwako kuna msamaha, ili wewe uogopwe, Mungu wa Israeli 2.Nimemngoja Bwana, Roho yangu imemngoja, na neno lake nimelitumainia 3.Ee Nafsi yangu imemngoja Bwana, kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa