Mtunzi: James Lunalo Khalwale
> Mfahamu Zaidi James Lunalo Khalwale
> Tazama Nyimbo nyingine za James Lunalo Khalwale
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: James Lunalo Khalwale
Umepakuliwa mara 1,670 | Umetazamwa mara 4,648
Download Nota Download Midi
Tunamshangilia mama ni mwenye heri (kweli) tunamshangilia mama mnyenyekevu (mama).
Maria mama wa Mungu asiye dhambi, Maria mama wa Mungu asiye doa x2
Ni nyota ya Bahari (mama) ya asubuhi (kweli) ni chombo cha ibada, kwa watu wote x2
Yeye hatuachi (mama) kwenye mabonde (kweli) kwa njia zile mbaya za kishetani x2
Anatuombea (mama) wakati wote (kweli) shida zinapojiri, pia mashaka