Ingia / Jisajili

Ulimi Wangu Na Ugandamane

Mtunzi: James Lunalo Khalwale
> Mfahamu Zaidi James Lunalo Khalwale
> Tazama Nyimbo nyingine za James Lunalo Khalwale

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: James Lunalo Khalwale

Umepakuliwa mara 28 | Umetazamwa mara 38

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ULIMI WANGU NA UGANDAMANE Ulimi wangu na ugandamane, na kaa kaa la Kinywa change, nisipokukumbuka x2 1. Kando ya mito, ya Babeli ndipo tulipoketi, tukalia tulipoikumbuka, Sayani 2. Katika miti, iliyo, iliyo katikati, katikati yake tulivitundika, vinubi vyetu 3. Maana huko, waliotuchukua mateka walitaka tuwaimbie vinubi vyetu. 4. Na waliotuonea walitaka furaha, tuimbe baadhi ya nyimbo za Sayuni 5. Ee Yerusalemu, nikikusahau sahau wewe, mkono wangu mkono wa kuume na usahau.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa