Ingia / Jisajili

Msifuni Bwana Ee Yerusalemu

Mtunzi: James Lunalo Khalwale
> Mfahamu Zaidi James Lunalo Khalwale
> Tazama Nyimbo nyingine za James Lunalo Khalwale

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: James Lunalo Khalwale

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 24

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MSIFU BWANA EE YERUSALEMU Msifu Bwana (msifu) Ee Yerusalemu, Msifu Bwana Ee Yerusalemu x2. 1. Msifu Mungu wako afanyaye amani mipakani mwako Ee Yerusalemu, akushibishaye kwa unono wa ngano, neno lake laiga mbiombio sana 2. Mungu na atuhurumie na atubariki na atuangazi uso wake sisi; na njia yake ijulikane duniani kote na wokovu wake uwee kwa watu wote. 3. Watu wafurahie na washangilie sana kwa kuwa Mungu huwaongoza kwa haki; watu wote na wakusifu Mungu atubariki na pande zote za dunia wamwogope!

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa