Ingia / Jisajili

WITO WANGU

Mtunzi: F. K. Wambua
> Tazama Nyimbo nyingine za F. K. Wambua

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: francis wambua

Umepakuliwa mara 423 | Umetazamwa mara 1,558

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
WITO WANGU( Na: F.K.WAMBUA© 2013) Chorus: (Bado ninajitahidi katika utumishi wangu(Bass-Mimi) Sop/Alto: ninajitolea katika wito wangu)x2 (Sop : mi-mi) ninakaza mwendo (Alto: kwe-li) niipate taji (Bass: ile) iliyowekewa wateule wa Mungu)x2 1.Ninankushukuru Bwana kwa ‘jili ya kazi yangu, (niitumie kuwafaidi majirani zangu)x2. 2. Ninakushukuru Bwana kwa ‘jili ya Wito wangu, (niutumie kuhudumia watu wako wote)x2 3. Unijalie upendo katika utumishi wangu,(nihudumie kondoo wako bilaUpendeleo)x2 4. Mwisho wa safari yangu unikaribishe kwako, (nifurahie na malaika huko uwinguni)x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa