Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Pasaka | Shukrani
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 727 | Umetazamwa mara 2,317
Download Nota Download Midi1a) Yesu kristo kweli amefufuka njoni wote tumshangilie
b) mkombozi mauti kayashinda ......................................
2a) nguvu za kuzimu ameshinda .....................................
b)adui shetani kaaibishwa .............................................
3.a)simba wa Yuda kweli kafufuka....................................
b)hakikani furaha ilo kubwa...............................................
KIITIKIO
Aleluya bwana amefufuka jemedari wa vita ameshinda,ni furaha iliyo kubwa sana jemedari Yesu amefufuka