Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiMsaada wangu ukatikabwana x 2 aliyezifanya mbingu na nchi x2
1. nitayainua macho yangu niitazame milima msaada wangu utatoka wapi msaada wangu ukatika bwana aliyezifanya mbingu na nchi
2. asiuache mguu wako asiuache usogezwe yeye akulindae asisinzie hata sinzia na wala hatalala usingizi yeye aliyemlinzi wa Israeli
3. bwana ndiye mlinzi wako ndiye mlinzi wako bwana ni uvuli husimama mkono wako wa kuume, jua halitakupiga mchana wala mwezi wakati wa usiku
4. bwana atakulinda na mabaya yako yote atakulinda nafsi yako bwana atakulinda utokapo na uingiapo tangu sas na hata milele