Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 883 | Umetazamwa mara 3,419
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka C
Ingekuwa heri leo tusikie sauti yake tusifanye migumu migumu mioyo yetu njoni njoni tuabudu tusujudu tupige magoti mbele za Bwana Bwana aliyetuumba Bwana aliyetuumba kwa maana ndiye Mungu wetu na sisi tu watu wa malisho yake na kondoo kondoo za mkono wake 1.Njoni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu 2.Tuje mbele yake kwa shukrani tumfanyie shangwe shangwe shangwe kwa zaburi 3.Hapo waliponijaribu nijaribu baba zenu wakanipima wakaona matendo yangu