Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Michael Nkana
Umepakuliwa mara 887 | Umetazamwa mara 3,086
Download Nota Download MidiKiitikio
//:Asante Ee Yesu wa ekaristi, kwa kutulisha na kutunywesha mwili na damu yako://
Mashairi
1. Mwili wako ni chakula cha uzima wa roho, damu yako burudisho la nyoyo zetu.
2. Ulisema mwenyewe aulaye mwili na kuinywa damuyo anauzima milele.
3. Katika shida zetu za mwili na roho, Yesu wa ekaristi ndio kimbilio.
4. Kaa nami daima ee Yesu wangu, nitangaze sifa zako daima milele