Ingia / Jisajili

Asante Yesu wangu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 1,111 | Umetazamwa mara 3,544

Download Nota
Maneno ya wimbo

Asante Yesu wangu ninashukuru (ninashukuru) x2 (umenilisha mwili wako umeninywesha damu yako. Yesu wangu nashukuru x2)

  • 1.Nikiwa na njaa Yesu wangu, unanilisha, nikiwa na kiu Yesu wangu mwema unaninywesha, ulakozechane nashukuru.
  • 2.Ajali magonjwa Yesu wangu, waniepusha, ni pendo la ajabu Bwana wangu umenionyesha, wakola bhabha nashukuru.
  • 3.Nikiwa na huzuni 'we Yesu wanifariji, chakula chako hunipatia uzima wa milele, wabheja bhabha nashukuru.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa