Ingia / Jisajili

Asifiwe Mungu

Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura

Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura

Umepakuliwa mara 458 | Umetazamwa mara 1,280

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka A
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka B
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

ASIFIWE MUNGU [E.D.MUTURA]

Asifiwe Mungu Baba na Mwana, naye Roho Roho Mtakatifu, (kwa sababu ametufanyizia, ametufanyizia huruma huruma yake) x2

  1. Ni umoja usiogawanyika wa Mungu katika nafsi tatu.
  2. Ndiye Mungu aliyekuwako na ndiye aliyepo na ajaye.
  3. Hili kweli ni fumbo la Imani yetu hakika twasadiki.
  4. Tumsifu na tumwabudu siku zote ndiye Bwana Mungu wetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa