Ingia / Jisajili

Paska Wetu Ametolewa Kuwa Sadaka

Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura

Umepakuliwa mara 941 | Umetazamwa mara 2,895

Download Nota
Maneno ya wimbo

PASKA WETU AMETOLEWA KUWA SADAKA ( Emmanuel Daniel mutura)

Paska wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka sadaka, yaani Kristo, (basi na tuifanye karamu kwa yasiyochachuka, ndiyo weupe wa moyo na kweli aleluya) x2

  1. Ndiye Mwanakondoo aliyechinjwa, kusudi mimi na wewe tupate ukombozi.
  2. Ni upendo wa kweli aliotuonesha, kutufia sisi wadhambi tupate ukombozi.
  3. Twende kumpokea katika maumbo, maumbo ya Ekaristi aishi nasi daima.
  4. Sote twajivunia kuwa na imani, imani katika Yesu Mkombozi wa ulimwengu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa