Ingia / Jisajili

Njoo Ubavu Wangu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 916 | Umetazamwa mara 2,526

Download Nota
Maneno ya wimbo
                        NJOO UBAVU WANGU
                                                        Valentine Ndege
                                                        Buhindi Forest

Beti:

  • 1.Mpenzi sogea nakukaribisha moyoni mwangu, karibu naahidi moyoni, nitakupenda siku zote daima milele.
  • 2.Machozi yafuraha yanitoka machoni mwangu tazama, siamini kuwa wangu pokea hisia zilizomo moyoni mwangu.
  • 3.Pokea pendo langu unipende nikupende milele, tupokee kwa furaha watoto tutakaopewa na Mungu mwenyezi.


Chorus:

(Njoo ubavu wangu, njoo sogea njoo nikumbatie wa ubavu wangu x2)


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa