Ingia / Jisajili

Ataniita

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 144 | Umetazamwa mara 199

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ataniita nami nitamwitikia nitamwokoa na kumtukuza kwa siku nyingi nitamshibisha X2

1. Anayeketi mahali pake aliye juu atakaa katika uvuli wake Mwenyezi

2. Nitasema Bwana ndiye kimbilio langu Mungu wangu nitakayemtumaini

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa