Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Vitus Chigogolo
Umepakuliwa mara 6,664 | Umetazamwa mara 12,066
Download NotaKabila langu nimekutendea nini au nimekusikitisha nini nini? Nijibu, nijibu, nijibu, nijibu.
1. Kwa kuwa nimekutoa katika nchi ya Misri umemtayarishia mkombozi wako msalaba
2. Kwa kuwa nimekuongoza kwa miaka arobaini, umemtayarishia mkombozi wako msalaba
3. Ilinipasa kukutendea nini zaidi nisikutendee? Kweli nimekupenda kama shamba langu nzuri sana
4. Mimi nimewapiga Wamisri kwa ajili yako nawe ukanitoa nipigwe mijeledi mijeledi
5. Mimi nimekutoa Misri nikamtosa Farao katika bahari ya Shamu new ukanitoa kwa makuhani wakuu
6. Mimi nimefunua bahari mbele yako nawe ukaufunua ubavu wangu kwa mkuki