Ingia / Jisajili

Furahi Yerusalemu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 13,775 | Umetazamwa mara 21,326

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Furahi Yerusalemu (furahi)x3 mshangilieni ninyi nyote mmpendao x 2

  1. Furahini, ninyi nyote mliao kwa ajili yake, mpate kunyonya, na kushibishwa maziwa ya faraja zake.
     
  2. Maana, Bwana asema, hivi tazama nitamwelekeza amani kama mto, na utukufu wa mataifa kama kijito kifurikacho, nanyi mtapata kunyonya.
     
  3. Mtabebwa, na juu ya magoti mta-bembelezwa. 

Maoni - Toa Maoni

Andrew Kayombo Jun 04, 2021
Hakika mtunzi huyu anastahili kuenziwa na kukumbukwa kutokana na nyimbo zake hizi.

Vincent wityukha Sep 09, 2020
Nyimbo za tenzi zanijenga kiroho

Toa Maoni yako hapa