Ingia / Jisajili

Aleluya- Kila Apendaye

Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura

Umepakuliwa mara 584 | Umetazamwa mara 2,300

Download Nota
Maneno ya wimbo

ALELUYA-KILA APENDAYE [E.D.MUTURA]

Aleluya aleluya(aleluya) aleluya(aleluya) aleluya ale-aleluya x2

  1. Kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu, naye anamjua Mungu, aleluya.
  2. Akaaye katika upendo hukaa ndani yangu, naye Mungu hukaa ndani yake, naye Mungu hu kaa ndani yake, aleluya.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa