Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 2,638 | Umetazamwa mara 4,880
Download NotaBASI KWA FURAHA MTATEKA MAJI.
basi Kwa furaha mtateka maji,
Katika visima (visima)vya wokovu katika visima (visima) vya wokovu.
1.Tazama mungu ndiye ndiye wokovu wangu nitatumaini wala sitaogopa.
2.katika siku hiyo mtasema ebwana mhukuruni bwana liiteni jina lake.
3.Yatangazeni matendo yake kwa mataifa liteni jina lake kuwa limetuka.4.Mwimbieni bwana Kuwait ametenda makuu yajulikane haya Katika dunia yote.