Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 616 | Umetazamwa mara 2,020
Download NotaANGALIENI MSIFANYE WEMA.
Angalieni angalieni angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu (kusudi) kusudi mtazamwe na wao.
Kwa maana mkifanya hayo hampati thawabu kwa baba yenu kwa baba yenu aliye mbinguni.
1.Basi wewe utoapo sadaka yangu usilige panda mbele yako Kama wanafiki wafanyavyo Katika .asinagogi na njiani ili waonekane kwa watu.
2.Amini nawambieni wamekwisha kupata thawabu yao Bali wewe utoapo sadaka hata na mkono wako wakuume usijue ufanyalo mkono wako wa kuume.
3.Tena usalipo usiwe Kama wanafiki kwa maana wao wanapenda kusali Hali wamesimama Katika masinagogi na Katika pande za njia ili waonekane kwa watu.