Ingia / Jisajili

NURU HUWAZUKIA

Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa

Umepakuliwa mara 818 | Umetazamwa mara 2,279

Download Nota
Maneno ya wimbo

NURU HUWAZUKIA

Nuru huwazukia wenye adili gizani adili gizani adili gizani huwazukia wenye adili gizani.

1.heri waendao kwa fadhiri kwa fadhiri na kukopesha atengenezaye mambo yake kwa haki.

2.Kwa maana hataondoshwa hataondshwa kamwe mwenye Haki atakumbukwa milele.

3.Hataogopa Habari mbaya moyo  wake moyo  uimara ukimtumainia bwana mungu.

4.Moyo wake umethibitika hautaogopa kitu hata awaone watesi wameshindwa.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa