Mtunzi: Dr.Damas Michael
> Mfahamu Zaidi Dr.Damas Michael
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.Damas Michael
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Damasi Michaeli
Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 12
Download Nota Download MidiTUFURAHI BWANA AMEFUFUKA
KIITIKIO: tufurahi Bwana Yesu amefufuka (ni shangwe) kamba za mauti hazina nguvu kwakeX2, tumpigie ngoma, na tarumbeta na vinubi (ayee) tufurahi sauti zetu tuzipaze (ni shangwe) tumwimbie Bwana mshindi.
1.ni siku ya tatu Bwana Yesu kafufuka, kama alivyosema kabla ya kifo chake, mauti haina nguvu kumzuia ametoka mzima kweli kama alivyosema.
2.tuimbe tufurahi tumshangilie Kristo, yeye ni nguvu zetu na ukombozi wetu, mauti haina nguvu kumzuia ametoka mzima kweli kama alivyosema.