Ingia / Jisajili

Bwana alikuwa tegemeo langu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 563 | Umetazamwa mara 1,670

Download Nota
Maneno ya wimbo
  •                                                                                                                                                        Mtunzi: Valentine Ndege
  •                                                                                                                                                        Simu: 0758 084 222


{Bwana alikuwa tegemeo langu, akanitoa panapo nafasi nafasi x2. akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami, akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami x2}

  • 1.Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu, sawasawa na usafi wa mikono yangu mbele zake mbele zake.
  • 2.Maana amezishika njia njia njia  za Bwana, wala sikumwacha Mungu Mungu wangu sikumwacha Mungu wangu.
  • 3.Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Bwana alikuwa tegemeo langu aangaza giza langu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa