Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 3,952 | Umetazamwa mara 9,694
Download Nota Download MidiBwana alikuwa, alikuwa tegemeo langu tegemeo langu,
Akanitoa akanipeleka panapo nafasi akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami.
Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu maana nimezishika njia zake wala sikumwasi Mungu, nimeshika maagizo yake sikuacha amri zake, mbele za Bwana sikuwa na hatia, nikalinda wema wangu.