Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,441 | Umetazamwa mara 6,862
Download Nota Download Midi1.Kimya bara na bahari, kimya mbingu na dunia,Bwana na Muumba wetu, mtoto Yesu asisinzia.
2.Amelazwa manyasini, mchanga mkiwa pia mnyonge, Yosef na Maryam wanamtunza mtoto Yesu
3. Malaika wanashuka kumlinda mfalme wao wanatunga nyimbo nzuri kumwimbia mtoto Yesu
4. Wachungaji waja mbio kwa mshangao waingia waanguka magotini wamwabudu mtoto Yesu
5. Nasi pia twende hima tukamwone Mungu wetu twende sote kwa juhudi kumwamkia mtoto Yesu