Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,087 | Umetazamwa mara 4,564
Download Nota Download MidiChorus
Miaka Mia Moja ya Ukristo (ya Ukristo hapa visiwani), hatuna budi kumshukuru Mungu, Hatuna budi kumshukuru Mungu (kwa kipindi hicho chote) kwa mema yote aliyotujalia. Tumshukuru kwa yote aliyotujalia,waamini wa visiwani na Afrika Mashariki (x2)
Mashairi
1. Tuzidi kuimarisha imani yetu(tuzidi),tuzidi kuimarisha imani yetu.
2. Miaka mia moja Miaka mia moja ya Ukristo ichochee, ichochee imani yetu.