Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 15,403 | Umetazamwa mara 19,854
Download Nota Download MidiKiitikio:
Fumbueni vinywa vyenu, mkapaze sauti zenu, mkasifu mkishangilia, ukuu wa Bwana Mungu wetu, mkirukaruka huku mkiimba sifa za Bwana Mungu wetu. Pazeni sauti mkiimba fanyeni shangwe kwa saburi ngoma hata na matari.
Mashairi:
1.Tukuzeni sifa zake, tukuzeni sifa zake, imbeni imbeni zaburi imbeni imbeni zaburi, pigeni kelele za shangwe kwa furaha, msifuni Mungu wenu kwa kinanda na kinubi
2.Kwa maana kusifu kwapendeza kusifu kwapendeza, basi njooni wote tumsifu Mungu wetu.