Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 4,831 | Umetazamwa mara 11,588
Download Nota Download MidiKiitikio:
Nafsi yangu; nafsi yangu yamngoja peke yake (yamngoja) nafsi yangu; nafsi yangu, nafsi yangu yamngoja peke yake yake (yamngoja) yamngoja kwa kimya (x2)
Mashairi:
1. Yeye ndiye mwamba wangu, ndiye mwamba wa wokovu wangu, ndiye ngome yangu nami sitatikisika kamwe.
2. Kwake yeye naliweka tumaini langu, kwake yeye naliweka tumaini langu, yeye peke yake ndiye mwamba wa wokovu wangu.