Ingia / Jisajili

Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni Mwema

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 791 | Umetazamwa mara 1,923

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka C
- Katikati Dominika ya 12 Mwaka B
- Katikati Mkesha wa Pasaka
- Shangilio Dominika ya Pasaka
- Shangilio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Alfajiri)
- Shangilio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele x2 1. Israeli na aseme aseme sasa, ya kwamba fadhili zake ni za milele, mlango wa Haruni na waseme sasa ya kwamba fadhili zake ni za milele 2. Ulinisukuma sana ili nianguke lakini Bwana akanisaidia, Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, naye amekuwa wokovu wangu 3. Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu jiwe kuu la pembeni, neno hili limetoka kwa Bwana nalo ni ajabu machoni petu, siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana tutashangilia na kuifurahia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa