Mtunzi: Constantine A Ntanguligwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Constantine A Ntanguligwa
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Constantine Ntanguligwa
Umepakuliwa mara 2,922 | Umetazamwa mara 7,325
Download Nota Download MidiKiitikio:
Bwana Amefufuka,Bwana amefufuka(III;Bwana),Bwana amefufuka(II&III:kweli), yu hai mzima amefufuka Kristu x2{1.Kristu(II&III;kafufuka). 2.Kristu}.Amefufuka alivyosema, kaburini hayumo(II&III;tena),kafufuka(III;kafufuka),kweli kweli(IV;kweli kweli), Kristu amefufuka(IV;Kristu),Mwokozi kafufuka Aleluya.
Mashairi;
1. Maria Magdalena, malaika kamwambia,hayupo tena hapa mnayemtafuta, amefufuka katika wafu, Kristu kafufuka.
2.Mwana wa Adamu ilimpasa kufa mikononi mwa watu kwa kusulibiwa na kufufuka siku ya tatu, kutuokoa.
3.Tazama Yesu Kristu amefufuka kweli,Aleluya tuimbe,tuimbe Aleluya, wokovu wokovu kwetu sisi,tunamshukuru.