Mtunzi: Constantine A Ntanguligwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Constantine A Ntanguligwa
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Constantine Ntanguligwa
Umepakuliwa mara 2,384 | Umetazamwa mara 6,574
Download Nota Download MidiKiit;Jiwe jiwe hili walokataa waashi,limekua jiwe kuu la msingi x2. Jiwe walilokataa, kataa waashi,limekua jiwe, limekua jiwe kuu la pembeni x2.
Mashairi;
1. Yesu Kristu ndiye jiwe, tena mwamba imara,jiwe kuu la msingi(II&IV;jiwe imara), yu hai mzima Aleluya.
2.Na muendeeni yeye, jiwe lililo hai,lililokataliwa(II&IV;na wanadamu),bali kwa Mungu ni teule.
3.Ninyi nanyi kama mawe, mawe yaliyohai, mmejengwa ili muwe(II&IV;nyumba ya roho),mtoe dhabihu za roho.
4.Tazama naweka katika sayuni, jiwe kuu la pembeni(II&IV;jiwe teule),mwamini hutatahayarika.